Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,640
- 4,427
Itabidi nitafute hiiWhat dreams my come. Hii inamhusu jamaa aliyependana na mkewe ,jamaa katangulia kufa kaenda mbinguni (heaven) then mkewe akapata huzuni wa kuondokewa na mumewe naye akaamua kujiua kwa hiyo akaenda hell. Mtiti ni kwamba watakutana vipi? Inatia huruma ya kutisha.