Wapendwa wote wa MMU na CC Mwaka tumeisha umega nusu jamani!

Kama sikosei nakumbuka another party ilikua iwe mwezi huu JUNE tena KEMPISKY so nahisi waandaaji wamebanwa na majukum ila mambo yakiiva mtu update tu tuanze kuzichanga kwa kibubu
 
Kama sikosei nakumbuka another party ilikua iwe mwezi huu JUNE tena KEMPISKY so nahisi waandaaji wamebanwa na majukum ila mambo yakiiva mtu update tu tuanze kuzichanga kwa kibubu
Nikweli nakumbuka Mkuu mwenyewe alisema kama JF itataka shughuli ifanyike pale Kempisk JF itaongezea kitakachokuwa kimepungu kwa hiyo sisi tutakazochangisha JF itaongezea,Sasa hii oa haiwezi kupita hivi Mtambuzi wewe ulisikia hii kauli ebu mkumbushe mac mushi hii kitu please
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom