Wapendwa wote wa MMU na CC Mwaka tumeisha umega nusu jamani!

Mnawala halaf mnawatupa kule mbaya zaidi wengine wanafumuliwa marinda halaf mnawaga,sasa kuja jamii wanaogopa wanaona watumie Id nyingine
Ngoja nimtafute Evelyn Salt nna shida nae
Katika msafala wa mamba hata kenge wamo ila nia yangu nikutaka tujuliane hali kama ilivyo desturi yetu kwani hii itakuwa mara kama ya 5 hivyo hakuna kibaya anayekula au kuliwa au kufumliwa/kumua marinda huyo ni ihari yake lakini lengo hapa nikujumuika na wing zote Atown, Tanga, Mwanza wote mnakaribishwa.
 
Last edited by a moderator:

Ni kwelii lakini wanapata wakati mgumi sana kha?wakati ni hiari yao lo ngoja nami nifanye tukutane huku kijijini kwetu sijui wapo maana ni kijijini kwelii wa mjini fanyeni yenu ni wakati wenu
Msalimie Asprin
 
Njoo bibie Dinazrde kwani wewe ndo kiungo katika mboga kukosa kwako mambo yatakuwa siyo ila mpaka uzi umefika hapa kuna watu siwasikii kwanza hwa watu wawili hawa! Mtambuzi aka babu, lara 1 aka kubwa la maadui!
 
...ESCAPE1 ndio kanisa gani na mie nije?

Wapendwa nimatumaini yangu kuwa nyote wazima buheri wa afya tangu mara ya mwisho tulipokutana pale ESCAPE 1 Ni muda sasa mimi ninaomba tufanye tena tukio lakukutana kama ilivyo jadi yetu kukutana na kujuliana hali na kufurahisha nafsi zetu kwa heshima na taadhima nawaomba hawawatu waingilie kati Mtambuzi, lara1, Madame B Paloma, Mentor, Nicas Mtei, Vin Diesel gfsonwin Asprin nawengine mtaopenda kujitokeza kuifanya hii shughuli iwe nzuri.

Naomba kuwakilisha.
 
Ngoja niongee na mratibu wa shughuli hizi za kujipa raha lara 1 kisha nialeta mrejesho...
 
Last edited by a moderator:
naona umenisahau au kwasababu sasa niko kijijini?
tuwaangalie hao waliotajwa hapo

sorry kama utajisikia vibaya:
pole kwa matatizo yaliyokupata rafiki[ ingawaje ukunishirikisha

QUOTE=KakaKiiza;9690445]Wapendwa nimatumaini yangu kuwa nyote wazima buheri wa afya tangu mara ya mwisho tulipokutana pale ESCAPE 1 Ni muda sasa mimi ninaomba tufanye tena tukio lakukutana kama ilivyo jadi yetu kukutana na kujuliana hali na kufurahisha nafsi zetu kwa heshima na taadhima nawaomba hawawatu waingilie kati Mtambuzi, lara1, Madame B Paloma, Mentor, Nicas Mtei, Vin Diesel gfsonwin Asprin nawengine mtaopenda kujitokeza kuifanya hii shughuli iwe nzuri.

Naomba kuwakilisha.
[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom