<br><br>mkuu hapo umenena na hii ndo gharama yake inajitokezaMhh, ingawa x wako atakuja jutia ujinga wake, amefanya mbaya sana. Kuna mambo ma2 hapa: <span style="color:#b22222;"><u>inaonekana ulimnyima haki ya kuwa karibu na mwanae kwa muda mrefu; hali hii imemfanya asione umuhimu wa yeye kuwajibika kwa 'kid' wake. Ktk hali hiyo akasema vile akidhani anakukomoa wewe, kumbe anajikomoa mwenyewe.</u></span> Ushauri: jaribu kumjengea mwanao ukaribu na babake kama unamtakia mwanao amani na babake hata kama nyie mko kama paka na panya. Kila mtoto needs his/her father or mother kwa makuzi bora!
mamii mungu atakupigania utaishinda hii mitihani. Jitahidi kujibu maswali ya huyo baba erick na bmp ingawa mengine nayaona ni CRAP ila huwezi jua labda wanataka kukushauri jambo la maana.
hebu niambie akikwambia ndoa ilidumu miaka 6 au 20 itasaidia nini katika kumfanya huyu mama aweze kumake decision?
mkuu mbona naona hizo information kwa sasa ni irrelevant. Huyo mzee hata kama huyo mtoto asingekuwa amemzaa yeye kiungwana sio vizuri kabisa alichokifanya.
usilolijua ni sawa na usiku wa giza, alishawahi kuwachukua watoto na kuwapeleka nisikokujua miaka miwili, nilipeleleza nikajua wanakosoma nikaenda ile shule HM akaniambia wale watoto hawana mama yule bwana alimweleza mama yao alishakufa, baadaye watoto walimsumbua alinifuata akanikabidhi watoto hapo ndipo longolongo za matunzo zilipoanzia jamani nina mengi siwezi kusimulia kila kitui
nasubiri kwa hamu aje akanushe Kaka sio kitu unaweza kukitungia uongokama unavyofikiri ili nipate faida gani, au sifa gani kuna vit vinaumiza kwenye mahusianoMkuu hizo information ni relevant tena sana kwa sababu nafikiri suala kwa sasa alichofanya bali kwa nini alifanya alichofanya. Kuna umuhimu wa kujua kwa nini alifanya vile. Ili kujua ni lazima kuwa na information kama hizo. Kama wewe ungekuwa mshauri na huyu akaja kutaka ushauri, ungejump kwenye conclusion basing on alichokisema na kufanya assumptions kwenye ushauri wako? Vipi upande wa pili ukija kesho yake na completely opposite story. I am sure unakumbuka stories za Theone na mke wake. Bado hatujajifunza kutokana na zile thread zao?
Husninyo mzizi wa tatizo nitaeleza siku nyingine sio leo, na hata nikieleza watasema wanataka upande wa pili, leo nimetoa hili kwanza mamii nahitaji msaada waq mawazo tu
usilolijua ni sawa na usiku wa giza alishawahi kuwachukua watoto na kuwapeleka nisikokujua miaka miwili nilipeleleza nikajua wanakosoma nikaenda ile shule HM akaniambia wale watoto hawana mama yule bwana alimweleza mama yao alishakufa, baadaye watoto walimsumbua alinifuata akanikabidhi watoto hapo ndipo longolongo za matunzo zilipoanzia jamani nina mengi siwezi kusimulia kila kitui
nasubiri kwa hamu aje akanushe Kaka sio kitu unaweza kukitungia uongo kama unavyofikiri ili nipate faida gani, au sifa gani kuna vit vinaumiza kwenye mahusiano
Kweli kabisa mkuumajibizano au mashindano hata kudhalilishana hakusaidii na inaonyesha unapenda mashindano na majibizano, kumbuka hayajengi na wala hayatasaidia watoto ..
kawaida tatizo si tatizo bali jinsi ya kumaliza tatizo ndo tatizo
usilolijua ni sawa na usiku wa giza, alishawahi kuwachukua watoto na kuwapeleka nisikokujua miaka miwili, nilipeleleza nikajua wanakosoma nikaenda ile shule HM akaniambia wale watoto hawana mama yule bwana alimweleza mama yao alishakufa, baadaye watoto walimsumbua alinifuata akanikabidhi watoto hapo ndipo longolongo za matunzo zilipoanzia jamani nina mengi siwezi kusimulia kila kitui
Mkuu hizo information ni relevant tena sana kwa sababu nafikiri suala kwa sasa sio alichofanya bali kwa nini alifanya alichofanya. Kuna umuhimu wa kujua kwa nini alifanya vile. Ili kujua ni lazima kuwa na information kama hizo. Kama wewe ungekuwa mshauri na huyu akaja kutaka ushauri, ungejump kwenye conclusion basing on alichokisema na kufanya assumptions kwenye ushauri wako? Vipi upande wa pili ukija kesho yake na completely opposite story. I am sure unakumbuka stories za Theone na mke wake. Bado hatujajifunza kutokana na zile thread zao?
inawezekana mimi nimelichukulia jambo kirahisi au sijaelewa topic. Huyu mama kilichomuuma na kumkera ni baba kuharibiwa mpango wa shule wa mtoto, inawezekana kabisa walikuwa na ugomvi mingi kabla ya hili lakini hajataka kutushirikisha. Issue iliyopo mezani ni hiyo ya shule, anauliza huyo baba amfanye nini? Watu mmekazana kuuliza ooh ndoa ina miaka mingapi, hapo nyuma alikuwa ana upendo? Umuhimu wake ni nini kwa sasa? Ndoa kama ilikuwa na miezi 3 au miaka miwili itataleta tofauti ya ushauri utakaompa? Kama ndio, kivipi?
Halafu kama hutajali naomba uniwekee link ya threads ya theone na huyo mkewe. Nahisi zilinipita.
Kweli kabisa mkuu
nyie kuna kitu hamjakifahamu ndugu zangu! Fuatilia simulizi hii inayonihusu mimi mwenyewe!
Nilizaliwa miaka zaidi ya ishrn ilyopita na wkt ninakua nikajikuta ninaish na mama yangu pekee,alitupenda sana wanae na kutusomesha hadi sasa ndo yeye anahusika na nipo chuo sasa,
ilipofika wkt wa kuhoji baba yetu alipo tulielezwa na mama yetu mambo mengi sana akimtuhumu mzee kwamba hafai na kiufupi alitujengea concept ya kumchukia baba yetu,na alifanikiwa sana.
Kumbe walikuwa na ugomvi wao kwa muda mrefu na mama alitutumia kama ngao kuficha ukorofi wake,na kwa vile waliishi separate,sisi tulikuwa kwa mama,
nilipomaliza form6 nilikaa na mzee na kupata maelezo yake kuhusu ugomvi wake na mama! Japokua mama kanisomesha had chuo kikuu leo,najuta sana kwa kutokufaham ukwel mapema na kujikuta namchukia baba yangu bure,nilipougundua ukwel nilimtafuta mzee mwenye age kama ya baba yangu nikaomba anisaidie kuomba msamaha kwa baba na baba akanisamehe na ndo mwanzo wangu ku balance kwa wazazi wangu wote na sasa naishi kwa amani moyoni.
Kwahyo,naamin kwa aliyefuatilia kisa hiki,atakuwa ameelewa kwanin huyo baba anawaona kama mama na wanae lao moja!
Kumbuka hakuna baba anayependa mtoto wake aegemee upande mmoja tu wa wazazi wkt yeye yupo hai.
inawezekana mimi nimelichukulia jambo kirahisi au sijaelewa topic. Huyu mama kilichomuuma na kumkera ni baba kuharibiwa mpango wa shule wa mtoto, inawezekana kabisa walikuwa na ugomvi mingi kabla ya hili lakini hajataka kutushirikisha. Issue iliyopo mezani ni hiyo ya shule, anauliza huyo baba amfanye nini? Watu mmekazana kuuliza ooh ndoa ina miaka mingapi, hapo nyuma alikuwa ana upendo? Umuhimu wake ni nini kwa sasa? Ndoa kama ilikuwa na miezi 3 au miaka miwili itataleta tofauti ya ushauri utakaompa? Kama ndio, kivipi?
Halafu kama hutajali naomba uniwekee link ya threads ya theone na huyo mkewe. Nahisi zilinipita.
Baba Erick hata kama mama wa mtoto alimkosea vipi huyo baba, still hakuna justification yoyote ya kuhamishia kisirani kwa mtoto-tofauti zenu wazazi zibaki kwenu wenyewe hazihusiani kwa namna yoyote na mustakabali wa mtoto