MD SPECIAL JF-Expert Member Joined Jul 4, 2025 Posts 1,161 Reaction score 2,812 Jan 6, 2026 #2 Dawa ya moto ni moto tu!, umpende adui ili akumalize uliona wap!!
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 62,119 Reaction score 179,924 Jan 6, 2026 #3 Usitupangie Cha kufanya
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,987 Reaction score 47,639 Jan 6, 2026 #4 Hilo ndilo fundisho kuu la wakristo, upendo. Vinginevyo wahuni walioenda ubalozini kwa papa wangekunya uharo bila kupenda kwa kipigo cha mbwa mwizi
Hilo ndilo fundisho kuu la wakristo, upendo. Vinginevyo wahuni walioenda ubalozini kwa papa wangekunya uharo bila kupenda kwa kipigo cha mbwa mwizi