Ingia jamii forums kupitia browser kama chrome, Firefox au opera hapo utaweza Ku upload vitabu hapa.Mimi nina Library kubwa sana ya vitabu mbali mbali viko kwenye PDF format namna ya ku upload hapa ndo sijui.Nina zaidi ya vitabu 6000 kuanzia riwaya , philosophy, business, educational nk.Njoo unijuze ni upload vyote vyote wapendwa wajipakulie kwa tani zao.
Sina ulichokiomba mtoa mada lkn kwa wapenzi, hivi vitawasaidia kama hujavisoma.,
Kama kusoma vitabu hakuko kwenye damu utaishia kudownload tu.,, Sio kazi rahisi kama mnavyofikiria....!!
Komaeni navyo ivyo kwanza sababu najua kuvimaliza tu hivi mtihani...! Mkihitaji vingine ntawatumia hata 1000...!!!
Asante sana, tushirikishane maarifaSina ulichokiomba mtoa mada lkn kwa wapenzi, hivi vitawasaidia kama hujavisoma.,
Kama kusoma vitabu hakuko kwenye damu utaishia kudownload tu.,, Sio kazi rahisi kama mnavyofikiria....!!
Komaeni navyo ivyo kwanza sababu najua kuvimaliza tu hivi mtihani...! Mkihitaji vingine ntawatumia hata 1000...!!!
asante mkuu. BarikiwaHaya najaribu ku upload kimoja kimoja lakini mda ndo sina ,Nilitamani ni upload vyote kwa pamoja mfaidi...Ni vingi mno siwezi kutafuta kimoja kimoja
Naomba nikufuate PM ili nione namna ya kunisaidia nami nikasaidie wengineMimi nina Library kubwa sana ya vitabu mbali mbali viko kwenye PDF format namna ya ku upload hapa ndo sijui.Nina zaidi ya vitabu 6000 kuanzia riwaya , philosophy, business, educational nk.Njoo unijuze ni upload vyote vyote wapendwa wajipakulie kwa tani zao.
ELIMU HAINA MWISHOHabari zenu wanajamvi.
Mimi in mkereketwa wa kusoma vitabu, lakini ninapata shida kuvipata online, ninatamani wapenda vitabu wenzangu tushirikishane links za vitabu.
Kwa sasahivi ninatafuta kitabu cha the family cha Mario puzo ningeomba kwa alienacho atushirikishe.
Pia kama una novel yoyote nzuri unaweza kutupia hapa ili tushirikiane, )James hardley chase, Frederick Forsythe nk.)
Pia vitabu vya kukuza uelewa na biashara nk. Mfano napoleon hill nk.
Natanguliza shukrani
Safi Mkuu God Bless YouSina ulichokiomba mtoa mada lkn kwa wapenzi, hivi vitawasaidia kama hujavisoma.,
Kama kusoma vitabu hakuko kwenye damu utaishia kudownload tu.,, Sio kazi rahisi kama mnavyofikiria....!!
Komaeni navyo ivyo kwanza sababu najua kuvimaliza tu hivi mtihani...! Mkihitaji vingine ntawatumia hata 1000...!!!
Sorry Unaweza Ku Send Hyo Pdf Yenye Vitabu Vyote Via Email Yangu Plz , ,Mimi nina Library kubwa sana ya vitabu mbali mbali viko kwenye PDF format namna ya ku upload hapa ndo sijui.Nina zaidi ya vitabu 6000 kuanzia riwaya , philosophy, business, educational nk.Njoo unijuze ni upload vyote vyote wapendwa wajipakulie kwa tani zao.
Natafuta kitabu kinachoitwa unyoya wa kipanga Aziz mwaka WA tatu huu. Msaada.Mimi nina Library kubwa sana ya vitabu mbali mbali viko kwenye PDF format namna ya ku upload hapa ndo sijui.Nina zaidi ya vitabu 6000 kuanzia riwaya , philosophy, business, educational nk.Njoo unijuze ni upload vyote vyote wapendwa wajipakulie kwa tani zao.