Harry singo
JF-Expert Member
- Apr 24, 2016
- 355
- 446
Fanya utaratbu bas ututumie missMimi nina Library kubwa sana ya vitabu mbali mbali viko kwenye PDF format namna ya ku upload hapa ndo sijui.Nina zaidi ya vitabu 6000 kuanzia riwaya , philosophy, business, educational nk.Njoo unijuze ni upload vyote vyote wapendwa wajipakulie kwa tani zao.
Kwa kweli kwa library hiyo Mimi naomba urafiki kama mtoto. Naomba basi uweke vile vilivyoainishwa kama unavyo, pia uweke vile favourites zako halafu tunaweza tukafanya kareview kidogo kushare ideasMimi nina Library kubwa sana ya vitabu mbali mbali viko kwenye PDF format namna ya ku upload hapa ndo sijui.Nina zaidi ya vitabu 6000 kuanzia riwaya , philosophy, business, educational nk.Njoo unijuze ni upload vyote vyote wapendwa wajipakulie kwa tani zao.
Njia mojawapo ni kufungua account kwenye website ambayo inatoa nafasi ya ku-upload files kisha unawawekea watu link ambazo wata-download. Mojawapo ya website hizo ni MediaFireMimi nina Library kubwa sana ya vitabu mbali mbali viko kwenye PDF format namna ya ku upload hapa ndo sijui.Nina zaidi ya vitabu 6000 kuanzia riwaya , philosophy, business, educational nk.Njoo unijuze ni upload vyote vyote wapendwa wajipakulie kwa tani zao.
Ukiweka ni tagMimi nina Library kubwa sana ya vitabu mbali mbali viko kwenye PDF format namna ya ku upload hapa ndo sijui.Nina zaidi ya vitabu 6000 kuanzia riwaya , philosophy, business, educational nk.Njoo unijuze ni upload vyote vyote wapendwa wajipakulie kwa tani zao.
Mimi nina Library kubwa sana ya vitabu mbali mbali viko kwenye PDF format namna ya ku upload hapa ndo sijui.Nina zaidi ya vitabu 6000 kuanzia riwaya , philosophy, business, educational nk.Njoo unijuze ni upload vyote vyote wapendwa wajipakulie kwa tani zao.
ShukraniNapoleon Hill hiki hapa -------- http://www.ivpp.nl/wp-content/uploads/masterminds.pdf
Haya najaribu ku upload
kimoja kimoja lakini mda ndo sina ,Nilitamani ni upload vyote kwa pamoja mfaidi...Ni vingi mno siwezi kutafuta kimoja kimoja
Mkuu nimekusoma sana, big up ukipata time tuwekee na mm nikipata time nitawawekea vyanguHaya najaribu ku upload kimoja kimoja lakini mda ndo sina ,Nilitamani ni upload vyote kwa pamoja mfaidi...Ni vingi mno siwezi kutafuta kimoja kimoja
Inapendeza, usijali kuhusu muda, anytime ukipata nafasi tukumbukeHaya najaribu ku upload kimoja kimoja lakini mda ndo sina ,Nilitamani ni upload vyote kwa pamoja mfaidi...Ni vingi mno siwezi kutafuta kimoja kimoja