Am In Love With This But Nyongo SasaPombe unakunywa unakunja sura....! Sipendiii....labda kama nina stress nataka nilewe haraka nikalale....
Yaani vyuma vikaze na sura niikaze wakati nastarehe!!?
Kula Serengeti lite Mzee 1500 ulalage....ukizingatia na hali ya vyuma miaka hii
Wewe tabia mbaya sanaKwangu mimi kwa upande wa Scottish whisky my favorites ni black label, double black na Jameson. Upande wa vodka bado absolute vodka inanibamba. Ingawa hata k vant nayo sio mbaya.
Rum ni bacardi na captain Morgan. Brandy ni martel , Hennessey Bila kuisahau remmy Martin ziwe xo ama vsop ni poa tuu.
Bia ni Heineken ikisaidiana na kirikuu ya safari ya baridiiii
Hahaah mkuu, huku sio mahala lake1petro 4:2-4