Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Vile umesema unapenda nyimbo za kiganda nikashangaa au una undugu na banyankole?
Honestly umeudhika? Kama ndivyo samahani Kipipi
Chezeiya cc tehtehteh
utakubali tu mwana wani.
........mnazidi kunifurahisha wakurugenzi....:high5:
HuyooooooNa wewe ni kiungo gani katika mwili wako ambacho unakipenda?
Huyoooooo
Na wewe ni kiungo gani katika mwili wako ambacho unakipenda?
Orait Kipipi basi come zis way nina zawadi yako. Cantalisia bin Mtambuzi ako pande gano?Hahah mie nazipenda tu tena sana....na ni mTZ halisi hata ugandani sipo kabisa!!
Wala wanyankole sihusiani nao mwaya!!
To be honesty....hakuna kilichoniudhi mpendwa wangu....na sijaudhika hata chembe!
So, haina haja ya kusema samahani Kaizer.
Uwe na amani tu!
beibe nasty yani me cwezi pitisha siku bila kupitia pale Amijei Chips Sinza.
Yani ntaona cku yangu haijakamilika.
I like ma body...!!!
Ya i like ma body jamani yani huwa naweza pitisha hata half hours front the mirror kuusifia uumbaji wa Allah kwangu mimi!!
That's enough!!!
Kaizer mida ya kusinzia hii.....ntakuja kesho!!
Kaizer mida ya kusinzia hii.....ntakuja kesho!!
BTW; Cantalisia kahamishwa mji na baba yake mzee Mtambuzi eti watu wanampenda penda sana!! lol
Ila kaniambia atarudi tu......baadae kidogo!
Kwa hiyo "tukutane tena baadaye" au sio