Ralphryder JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 5,599 Reaction score 1,801 Feb 27, 2012 #1 Yamekamatwa mayai yanayodhaniwa kuwa feki lori nzima huko kitunda Dsm! Uchunguzi unaendelea. Source, tbc1
Yamekamatwa mayai yanayodhaniwa kuwa feki lori nzima huko kitunda Dsm! Uchunguzi unaendelea. Source, tbc1
B Bajabiri JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 9,727 Reaction score 1,214 Feb 27, 2012 #2 Ralphryder said: Yamekamatwa mayai yanayodhaniwa kuwa feki lori nzima huko kitunda Dsm! Uchunguzi unaendelea. Source, tbc1 Click to expand... duh,hahahahahahahahahah,MAYAI FAKE! NIMETUMIWA SMS NA MY BRO AKINAMBIA'KUWA MAKINI NA ULAJ MAYAI,KUNA MAYAI FAKE'
Ralphryder said: Yamekamatwa mayai yanayodhaniwa kuwa feki lori nzima huko kitunda Dsm! Uchunguzi unaendelea. Source, tbc1 Click to expand... duh,hahahahahahahahahah,MAYAI FAKE! NIMETUMIWA SMS NA MY BRO AKINAMBIA'KUWA MAKINI NA ULAJ MAYAI,KUNA MAYAI FAKE'
The dirt paka JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 371 Reaction score 69 Feb 27, 2012 #3 yanakuaje hayo?
Consultant JF-Expert Member Joined Jun 15, 2008 Posts 11,661 Reaction score 21,322 Feb 27, 2012 #4 Mbali na Yai kuwa ''VIZA'', yai fake unalitambuaje?
B Bajabiri JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 9,727 Reaction score 1,214 Feb 27, 2012 #5 The dirt paka said: yanakuaje hayo? Click to expand... ah,ngoja wadau watujuze!
Ralphryder JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 5,599 Reaction score 1,801 Feb 27, 2012 Thread starter #6 Rangi yake ni mchanganyiko uleule kuna brown kdg na mengine meupe! Ila bei yake iko chini!
B Bajabiri JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 9,727 Reaction score 1,214 Feb 27, 2012 #7 Tbs,tfda,tra,aaaah jaman mbona this is a serious ishu?yaani mh!halafu mamlaka hucka zipo kimya,