WAPENDA MATRAKO HARMONIZE KIMEMLAMBA HUKO

Maigizo yamekuwa ya kiwango cha SGR.. GenZ mheshimiwe
 
Wakati nazaliwa; nilikiwa naambiwa Mwanaume hatakiwi kulia... Ila nilikuja kushangaa kuona CR7 analia. Ila wanaume wa sasa hivi wanalia lia sana kama wanawake.

Hivi ikitokea vita ya 3 ya Dunia tutawaweka kundi gani?
 
Kicki
 
Harmo hapo kashapagawisha na hiyo chemba ya maveee itakuwa ndio chanzo cha huo mchozi wote...
 
Acha Apigwe Mzee Wa Chitohori Tandahimba
Amekaa Kishambashamba Na Umri Huo
Utapigwa Tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…