Wapemba ni watu gani?

Hao wote uliowataja hawajui chochote kuhusu Pemba na Wapemba wake
 
Hivi waMachame ni watu gani?
 

Ni waafrika wanaokataa uafrika wao!!..wanasema wao ni waarabu! hivyo ni bora kuliko waafrika!..wewe kama unabisha jaribu kufuatilia ni wapi mpemba aliusifu uafrika wake..woote utawasikia sijui dubai..sijuia oman sijui...saudi
Kazi kweli bado tunayo wandugu! sijui ni lini waafrika tutaelimika na kujiheshimu jinsi tulivyo na siyo kujifananisha na watu wa mabara mengine...
 

Nilishawahi kusikia mmoja akijitapa mimi babu yangu alitoka Oman unaona hata nywele zangu zilivyo za shombe shombe!!!! πŸ˜• nikamkata jicho la kiutu uzima lakini si kutia neno πŸ™‚ Wanapenda sana kujibabatiza na kuunga na gundi uarabu wasiokuwa nao kama vile ukiwa mwarabu wewe ni wa maana sana kuliko Mwafrika.
 
Punguza ghadhabu Mzee. Wapemba ni Wa-Zanzibari . sasa kama babu yake imetokea kuwa ni mtu mwenye asili ya Oman kuna dhambi gani kujitapa kwa asili hiyo. Huo Uafrika unaosema ni upi? U-Naigeria umo humo?
 
Punguza ghadhabu Mzee. Wapemba ni Wa-Zanzibari . sasa kama babu yake imetokea kuwa ni mtu mwenye asili ya Oman kuna dhambi gani kujitapa kwa asili hiyo. Huo Uafrika unaosema ni upi? U-Naigeria umo humo?
basi wapemba- waarabu koko=waarabu pori= WAMANGA, lakini nao huwa wakishuka huko Dubai/Oman sijui Saudia wanaitwa WASWAHILI kwa sababu they dont know anything about arabs and more enough they cant even speak the language they just know greetings and blah blah....
 
Pemba!
 

Attachments

  • DSC_5068[1].JPG
    19.4 KB · Views: 110
Last edited:

Son:

Mwafrika maana yake sio mtu mweusi. Mwafrika ni mtu anaishi kwenye continent la Afrika. Na ndani ya Afrika kuna watu wenye background tofauti.

Mtu ambaye babu yake ni mwaArabu hiyo ni fact. Je haifiche hiyo fact? hatakiwi kuificha kwa sababu hipo ndani ya DNA yake.

Hila upuuzi wa kuwafanya wengine wapumbavu hautakiwi.
 

Sawa. Kama ni kutoa ushauri., Nafikiri achana na hisia zote hizo. Wapemba ni Wa Zanzibari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…