Wapambe msitujadili mapenzi yetu hayawahusu

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,674
Reaction score
37,852
Wapambe msitujadili mapenzi yetu hayawahusu,ya kwako yamekushinda ya wenzako utayaweza,achen kudiscus mapenzi ya wenzenu,kujitongozesha kwa nguvupenzi ni bonge la issue kwetu cici wapendanao, mabomba mkazuzu,wakerwa shauri zaoc katuunganisha mola kupendana yetu furaha, nendeni vyombo vya dola kwetu msitupleleze,mcituchunguze kibaya msitutangaze,acheni tujinafasi

wapambe presha inapanda aah presha inashuka pressha inapanda aa presha inashuka msijitie ujuzi kulitabiri penzi letu ninyi ni watu wala sio mungu amji hatma yetu,mapenzi hayana mjanja c komando wala jemedari, kwenye mapenzi anatulia,mctujalie tunapendana,hata kama sina gari mwenyewe kanikubali


ACHEN TUJINAFASI

KARIBU UANACHAMA WA CCJ FANYA HARAKA

CCJ KWA MAENDELEO YAKO
 
hii mistari mizuri kweli, ngoja Mzee Yusuph au Hadija Kopa waione....
 
Aswaaaaaa ndio wapiga debe wetu mwaka huu hao!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…