WAPELESTINA WASHEREHEKEA USHINDI:
Wapalestina wamesherehekea ushindi waloupata dhidi ya Mayahudi,katika vita iliyo endelea kwa muda wa siku 50.
Inazingatiwa ya kuwa wameshinda kwa sababu zifuatazo:
1-Kile Mayahudi walichokuwa wanakitaka hawajafanikiwa,ikiwa ni pamoja na kuwanyang'anya Wapelistina silaha ambazo kwa sasa wanazitengeneza.
2-Israeli wanadai kuwa jeshi lake ndio jeshi bora Mashariki ya kati lakini wamekubali kusitisha mapigano kwa masharti ya Palestina na si kwa masharti yao.
3- Kwa mara ya kwanza Palestina wanauwa idadi kubwa ya wanajeshi wa israili ukilinganisha na vita vya nyuma walipokuwa wakitumia mawe tuu kujibu mashambulzi.
4-Uchumi wa Israili umeyumba kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na vita vya mwanzo walipokuwa wakiwauwa kwa silaha nzito,huku wapalestina wakitumia mawe tu.
5-kubwa ya yote Mayahudi wamekubali kusitisha mapigano kwa masharti ya Palestina"kama"kumaliza mzingiro huko Gaza,kufunguliwa mipaka,kuimarishwa Gaza nk.ama wao walichokipata ni kuuwa watoto,wanawake,na wote wasiohusika pamoja na kuvunja majumba hovyo.