Waongezeeni Watumishi wa Umma Uwezo wa Kulipa HESLB

spyboss

Member
Nov 30, 2015
45
69
Naishauri tu Serikali ya awamu ya tano kuwaongezea watumishi hasa wa Umma uwezo wa kulipa kwa kuwaongezea nyongeza ya mishahara kila mwaka, kupanda madaraja (promotions) ambayo huenda sambamba na upandaji wa mishahara. Lioneni hili enyi watawala wa kisiasa.
 
Hili ni pigo Takatifu la 2017 kwa Watumishi wa UMMA....Watumishi walikua wameanza kupata uwezo wa kujenga na kuanzisha vijibiashara na viusafiri....Kakweli serikali ya awamu ya 4 ilijitahidi sana kutokuwaumiza sasa wanakuja na 15% kwanye 100% inabaki ngapi apo bila makato? Sidhani km Watawala au Mafirauni wanayajua haya....Mungu Tusaidie hili ni pigo la Mwaka 2017 plus 10 years ambapo watakua wanakata Mikopo yao
 
Back
Top Bottom