waonaje hili?

OGOPASANA

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2009
Posts
262
Reaction score
144
nataka kuanzisha kitu kinaitwa maisha foundation,ambapo itakuwa na wanachama 100 tu, watakaochangia laki moja moja kila mwisho wa mwezi na kila mwisho wa mwezi mtu mmoja atachukua milioni kumi hadi wote waishe...waonaje?
 
hiyo itakuwa deci nyingine sijui kwenye kuandikisha itakuwaje.
 
Huo upatu wa hali ya juu - issue ni kuaminiana!
 
Mimi wa kwanza kuchukua.. Mpaka miezi 100 iishe duhhhh,,,,...
 
nataka kuanzisha kitu kinaitwa maisha foundation,ambapo itakuwa na wanachama 100 tu, watakaochangia laki moja moja kila mwisho wa mwezi na kila mwisho wa mwezi mtu mmoja atachukua milioni kumi hadi wote waishe...waonaje?

mwaka mmoja una miezi 12, ina maana katika mwaka mmoja ni watu 12 tu ndio watapata hiyo 10000000, na mtu wa mwisho(wa 100) atapata hiyo 10,000,000 baada ya 100/12=8.333333, yaani namaanisha baada ya miaka nane na miezi mitatu, kweli itawezekana?, sasa kama kuna mtu wa kuwa na laki moja kila mwezi kwa miaka nane, si bora akafungua fixed acc ya kuweka hiyo kilo kila mwezi
 
nataka kuanzisha kitu kinaitwa maisha foundation,ambapo itakuwa na wanachama 100 tu, watakaochangia laki moja moja kila mwisho wa mwezi na kila mwisho wa mwezi mtu mmoja atachukua milioni kumi hadi wote waishe...waonaje?

100/12 = takribani miaka 8 na miezi 3; Kwa kuzingatia dhana ya Time Value of Money uwekezaji huu utakuwa bias miongoni mwa wanachama wake
 
Loh! Napenda upatu lakini mdogo mdogo ambao mzunguko wake hauzidi mwaka mmoja. Hiyo ya miaka kuanzia 2 hadi 8 ni utata mtupu. Watu hapo katikati wataugua, watakufa, watapoteza ajira ama kipato - ni matatizo ya kibinadamu. Mimi binafsi sifikirii kujaribu hata harufu ya upatu wa aina hiyo. Nawatakia mafanikio watakaoingia anyway. :nono:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…