Wao Ukiwauliza Vyeti Fake...........

Job K

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
9,314
Reaction score
7,169
Hili Taifa sasa hivi hakuna usawa kabisa! Juzi hapa kumeibuka sakata la vyeti fyeki, wananchi wa hali ya chini wamelia mpaka basi na hakuna wa kuwasikiliza. Lakini cha kushangaza tukaambiwa wanasiasa wao hili haliwahusu maana wao ni kujua kusoma na kuandika tu basi! Hivyo hata kama wana vyeti fyeki wao wako salama. Kubwa zaidi ni pale ukijidai kung'ang'ania kuhoji vyeti vya hawa waungwana, matokeo yake ni mawili tu ama utekwe au uuawe! Kuna mtu alihojihoji uzamivu fyeki wa watu mpaka leo haijulikani yuko wapi!! Sisi ni nani wa kututetea ili nao wakihoji vyeti vyetu nao watekwe ili iwe ngoma draw? Hii dunia haina usawa kabisa!
 
[QUhatuwez100, member: 27429"]Hili Taifa sasa hivi hakuna usawa kabisa! Juzi hapa kumeibuka sakata la vyeti fyeki, wananchi wa hali ya chini wamelia mpaka basi na hakuna wa kuwasikiliza. Lakini cha kushangaza tukaambiwa wanasiasa wao hili haliwahusu maana wao ni kujua kusoma na kuandika tu basi! Hivyo hata kama wana vyeti fyeki wao wako salama. Kubwa zaidi ni pale ukijidai kung'ang'ania kuhoji vyeti vya hawa waungwana, matokeo yake ni mawili tu ama utekwe au uuawe! Kuna mtu alihojihoji uzamivu fyeki wa watu mpaka leo haijulikani yuko wapi!! Sisi ni nani wa kututetea ili nao wakihoji vyeti vyetu nao watekwe ili iwe ngoma draw? Hii dunia haina usawa kabisa![/QUOTE]
Usawa upo kwa Mungu
 

"Mwenye hukumu ya haki ni Mungu pekee" Kabudi - Prof
 
Inauma sana.[emoji27]

Siwezi kuzisema hisia zangu hapa ngoja niumie tu moyoni.[emoji144]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…