Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,623
- 1,096
tunatofautiana usikivu. Bendi inapiga hapo weekend zote na pia mziki wa DJ up 5/7 daysNimelala hapo Kilimani mbona hakukuwa na kelele na nikaona zenji kumetulia mno
Mkuu, mimi sio raia tu bali ni mzalendo wa Tz.Wewe ni raia wa Tanzania?