Wanywaji wa Safari Lager TBL hatarini

Wanywaji wa Safari Lager TBL hatarini

ni sawa na mtu kuja na habari, uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako.
sumu yoyote inayoingia mwilini ni hatari kwa afya ya mtumiaji ikiwemo na pombe
 
Ni kweli afu wameanza kuichakachua ile bia,.. Inataste tofauti sana, ina crisp tastes tofauti na radha ya safari kubwa,
 
Masikini watu wanazidi kuchanganyikiwa kwa ugumu wa maisha. Pole ndugu!
 
Back
Top Bottom