Nimekua kwa sehemu nafuatilia hotuba za mshua , mara nyingi upenda kutaja tabaka la watu anaowaita wanyonge,
kuwa ndio rais wao na anajitahidi kufanya yote yanayoendelea nchini kwa ajili yao.
Leo nataka wanyonge mje mnipe mrejesho
Huko mlipo wenzetu namba haisomeki?
Je kwenu kuna mabadiliko yoyote mmeshayapata?
Je siku hizi wanyonge mnaishi kama malaika au ni ndoto tu za kufikirika maana wengine tumefanywa kama mashetani?
Hivi wanyonge mboga saba siku hizi mezani hazikatiki?
Kwetu huku tunashindia chai maandazi.
Huyu mshua asije shituka miaka mitano imeisha akizani kuna tabaka alilofikili analisaidia kumbe badala yake anataabisha Taifa zima