Wanyama wangekuwa na ID JF

Wanyama wangekuwa na ID JF

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,341
Wanyama wangekuwa na uwezo kuwa na IDJF hizi zingekuwa post zao ChitChat.

Mende:rafiki zangu nina furaha yaani nimeupuka kijanja kukanyagwa na binadamu.
Mbu:Mi ni HIV posite baadaye ya kunyonya damu ya mtu bila kinga,
Paka:mwanangu wa 7 ananiuliza baba yangu ni nani?hata sikumbuki
Kuku:kesho mkiona sijareply humu mjue nimeliwa.
Mbuzi:Wakuu wiki ijayo msitoke nje Eid imekaribia
Kiitomoto:>(anamreply mbuzi),nina bahati mi ni haramu.
Mbuzi:>(anamreply kitimoto),we niombee kwa wakati mgumu nilio nao kumbuka baada ya Eid kuna mwaka mpya wa kichina
lazima uliwe.
Ng'ombe:nataka nimnyonyeshe mtoto ila nimeshakamuliwa mapema.
mbwa:Nawachukia wahehe nimeponea chupuchupu.

endeleza...........
 
Simba: yaani binadamu ni wa ajabu,na heshima yote niliyonayo hapa serengeti eti binadamu ananibandika jina la katimu ka mpira ka hovyo tu nasikia kako kariakoo huko.
 
Chura:msimu huu majia yanakauka mapema sijui tutaenda wapi.
 
kambale; jamani mvua hazijaanza mwenzenu nimebakia kichwa tu huku chini ya udongo
 
nzi na kampeni ya kuzuia kipindupindu. hawa madokta nao viherehere wanatangaza ili iweje?
 
SIMBA: Washkaji naitaji dawa ya kuongeza m**oo ili iendane na manguvu yangu... maana hiki ki bamia wakati mwingine kero tupu
 
kambale; jamani mvua hazijaanza mwenzenu nimebakia kichwa tu huku chini ya udongo

Nyoka:nasikia kesho kichaka kitachomwa moto sijui tukimbilie wapi
 
nzi na kampeni ya kuzuia kipindupindu. hawa madokta nao viherehere wanatangaza ili iweje?

halafu mwenzake anajibu.............tuwe makini sana kama tunapenda kuishi
 
Wanyama wangekuwa na uwezo kuwa na IDJF hizi zingekuwa post zao ChitChat.

Mende:rafiki zangu nina furaha yaani nimeupuka kijanja kukanyagwa na binadamu.
Mbu:Mi ni HIV posite baadaye ya kunyonya damu ya mtu bila kinga,
Paka:mwanangu wa 7 ananiuliza baba yangu ni nani?hata sikumbuki
Kuku:kesho mkiona sijareply humu mjue nimeliwa.
Mbuzi:Wakuu wiki ijayo msitoke nje Eid imekaribia
Kiitomoto:>(anamreply mbuzi),nina bahati mi ni haramu.
Mbuzi:>(anamreply kitimoto),we niombee kwa wakati mgumu nilio nao kumbuka baada ya Eid kuna mwaka mpya wa kichina
lazima uliwe.
Ng'ombe:nataka nimnyonyeshe mtoto ila nimeshakamuliwa mapema.
mbwa:Nawachukia wahehe nimeponea chupuchupu.

endeleza...........

Labda samaki angesema
Sisi wanyama ni wanyama, hatuwezi kufanana na wana JF. Asilimia kubwa tunalalamika kuhusu kitu ambacho binadamu atatufanyia. Hapa JF ni kwa binadamu, mimi narudi baharini kwangu, hapa hakuna oxygen
 
Kunguni: kwani hawa watu hawasimi taa ninyonye? Nataka kulala leo mapema.
 
mjusi; binadamu bana, wantengeneza ceiling board nzuri halafu wanakanyaga chini, cheki c 2navozikanyaga kwj raha zetu.
 
jamani inamaana wana jf wananjiangalia wao tu? maana post zote yaelekea hao ndugu wangejiangalia uhai wao....
 
Back
Top Bottom