Wanyama wa jinsi moja kujamiana wanafundishwa, wanaiga au asili?

kasulamkombe

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
2,232
2,481
Hivi wanyama wa jinsi moja kuwa na tabia ya kujamiana wao kwa wao nini kinasababisha tabia hii.Wataalamu wa wanyama mtujuze!!

 
Yanii hii ishu hata sielewii..!! Hadii simbaa dumee analiwaaa tigo..!????? Serious...!???? Hapana dunia imeishaaa
 
Hata wangefungishwa ndoa lakini hao hawana utashi hivyo haihalalishi wanadamu wenye utashi kummezea mate mwenzio of the same sex. Haikubaliki. Jiulize, ameona nini ka sio roho mbaya ya kukuua?
 
Wanaoweza kufanya huu usodoma ni nguruwe jomoni..sidhan kama dume la simba linaweza kubahashiwa.Hizi ni duka Picha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…