Wanyakyusa wenzangu mnanikumbuka!?

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
5,599
Reaction score
1,798
Najua umenisahau. Naitwa Andekelile Lupakisyo Ambindwile Mwambalakata mtoto wa Afwelile Ambwene Mwakisujeje Mwakasokela anko yake na Asangalwisye Mwalunyasyo rafiki wa Bakangana Bukenja Bukomile na nduguye Mwamakimbula Bkunnyasya, nimesoma na Bankalalile Ngupasya ifyaitolo Fikufyuka.
Je,
wanikumbuka?
 
Nakukumbuka kwa mbaaali. Wee ndiye ulimwoa yule binti wa Tunduma aitwaye Tusajigwe mtoto wa Mzee Mwambulukutu?
 
ndungu sya ghuso
 
Papa pafwene...............Ughonile mwenerupaka...........
 
ndio malafyale, nimekukumbuka wewe si ndio mwana gwa tuntufye mwasakafyuka, yule alieiba ile ngambako ya mwakinyuke.
 

Huyo mbona alichunwa ngozi miaka mingi ilopita!
 

Matanga gha Nyoko.
 
Duh,mtu mmoja una koo mbili,mwakisujeje Mwakasokela,wewe siyo mnyakyusa
 
ndungu sya ghuso
Heh hehhhhhhhh eeeeeee we Bujibuji umenivunja mbavu,mpaka bosi wangu kaniuliza nina nini lol kidogo ningefumwa naangalia JF wakati wa kazi nimecheka kwa sauti kubwa sikutegemea kuona hapo pekundu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…