Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,700
ntumie pcha ya Toyota Coaster
ntumie pcha ya Toyota Coaster
Huu ni upuuzi kama mnababaisha biashara msiwe mnaandika humu wewe si nilikuambie nicheck nikakupa na no mbona kimya?Toyota coster unauza 15ml duu!!! ipo fresh kabisa haisumbui
haujawai kuni pm namba yako ndyo maana nimeulizaHuu ni upuuzi kama mnababaisha biashara msiwe mnaandika humu wewe si nilikuambie nicheck nikakupa na no mbona kimya?
Hii nini? Na saizi nimeisha ondoka niko MbeyaMwenye Toyota Coaster ani pigie kweny no 0752-842099 Nakuja kuiyona na kulipa papohapo nikiridhika muda upo leo tu
Ipomkuu hauna rav 4 new model ama kill time?
SoldToyota coster unauza 15ml duu!!! ipo fresh kabisa haisumbui
wasalimie kyambambembe mkuu.Hii nini? Na saizi nimeisha ondoka niko Mbeya
Upo na huku kakaCruiser pick up macho ya panzi 2013,2014,2015 kwa ngapi?
Upo na huku kaka
We acha, jamaa jana wamepak bus duh yana ila angekuwepo mwanaume wangefurahi😀😀😀 mkuu Ben nipo ndugu yangu napitia-pitia na huku.....jana tume-draw na malaga naona hata aibu kuonyesha uso wangu' lakini kawaida ya mchezo kaka....so twamsubiri the magician next match tufanye wonderZ! Karibu sana kaka kule kwetu....
We acha, jamaa jana wamepak bus duh yana ila angekuwepo mwanaume wangefurahi
Ipo hiace ya caravan kwa 10 mNdg hiace vp yenye har nzr
Ipo kwa 9.5 m call 0652472486Aisee nahitaji toyota ist namba d
antipas huwa ni majina ya kichaga*Baada ya kufanya vizur sana kwenye ulimwengu wa simu tumehamia kwenye automobile tunatisha na bei zetu ni sawa na bure*
Mitshubish gdi safi inatembea safi 3.5milion pasho laki na nusu
Raum new model kinanda sana 8
Mitshubish lancer 3 milion
Starlet 3 milion
Corrola 110 4.6
Noah old model namba c 8.5
Sienta kal 8m5
Toyota coaster 15 milion
Nissan bluebird 5 milion
Hizo ni update za sasa kama unanteja posho tunagawana nus kwa nusu password sinaga call me 0652472486 for picture inbox meView attachment 430433View attachment 430434View attachment 430435View attachment 430436View attachment 430437
Ipo kwa 9.5 m call 0652472486