Michepuko sometime inasaidia,kuna vitu vya muhimu mwanaume upate kwa mkeo halafu unakosa kama huna mchepuko hata mmoja basi unajikuta unakua na stress na hasira za ajabu ajabuUNATUMIA MATATIZO MAKUBWA KUSOLVE MATATIZO MADOGO
UNAHITAJI MAOMBI
Wapo wengi ila tatizo lugha uliyoitumia hapo....Michepuko sometime inasaidia,kuna vitu vya muhimu mwanaume upate kwa mkeo halafu unakosa kama huna mchepuko hata mmoja basi unajikuta unakua na stress na hasira za ajabu ajabu
Watu wako speed...Ungeelezea personality yako kwanza ili tujue ukoje tutakapoanza urafiki isije kuwa na sisi ni type ya mkeo ukakwazika mara7
Haya mkuu tumia condomMichepuko sometime inasaidia,kuna vitu vya muhimu mwanaume upate kwa mkeo halafu unakosa kama huna mchepuko hata mmoja basi unajikuta unakua na stress na hasira za ajabu ajabu
Ungeelezea personality yako kwanza ili tujue ukoje tutakapoanza urafiki isije kuwa na sisi ni type ya mkeo ukakwazika mara7
Kumbehili nalo nenoooo
Watu wako speed...
Sasa huo urafiki ntaufanya na mkeo au weweLabda nikuambie personality ya mke wangu ndio ujijue kama upo kundi hilo