Wanoknok

Umenikumbusha mbali mkuu; huu wimbo ulikua na ladha ya kipekee.
Nimeshindwa kuupata YouTube, hebu jaribu link hapo chini:
 
Daaaah yaani nimejaribu kufukua you tube sijaona kabisa daaah ni wimbo niliokua naupenda sana....
 
Mkuu nimeupakuwa daaah asante sana.....wanoknok watakupakazia yasiyowahusu wao kuingilia maneno Yao nikama ya simba.....nimefurahi sana....tena mno
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…