Wanigeria waongoza kwenye orodha ya wanafunzi wa kigeni chuo kikuu cha JKUAT, Kenya

Mbona upo radhi kuwaazima mapanga hao waliokujenga hadi ukajengeka.
could you please revisit your comment yesterday on standard media's article, dpp to charge muthama on hate speech, mr lawmaina78!. Dont preach water and take wine. if you and your kin take pleasure at jaluos being roughed up, who are we to stop it when you decide to take it a notch higher! am afraid theres nothing we can do. #live as brothers or perish together as fools. Cuea has a good rappor internationaly because since it was started they (amecea) have never put a kenyan chancellor at its helm .
 

Muthama is not a Luo.
And if he gets roughed up for hate speech it's upto him. Kuria was arrested recently and we all cheered their stay in jail.
 
Jkuat inatofauti gani na sokoine university of agriculture ?
 


Swali la msingi ni je ni wanafunzi wa aina gani hao? Kwa maana nijuavyo kwa kwetu TZ wale wanafunzi waliofeli na kushindwa kupata nafasi TCU ndiyo huenda nje (Kenya, Uganda &Co.) hivyo ni muhimu kulijua hilo kama ni top students wa Nigeria ndiyo wanakuja au marejects wa Nigeria ndiyo wanakuja!
 
My concern was the difference btn jkuat and SUA ......I am not sure about the list you have posted is from which source.....it's like finding medical notes on Wikipedia which is not correct...
 
Machowapendea hawa wanasoma haswa haswa, na hapo hapo wanajifunza jinsi ya kuwa matapeli wazuri na kupiga kazi kwa sheria pia vizuri.
 

Watu wanaofikia kufanya hadi shahada ya uzamifu sioni jinsi watakua marejects, wacha uvivu mswahili. Watanzania wengi wamejaa Kenya wanapata elimu bora.

Hata Watanzania waliosomea Kenya wanapata nafasi za ajira fasta Bongo zaidi ya nyie wa st Kayumba. Angalia hii picha.

 


Lkn haibadilishi ukweli kwamba hakuna Mtz aliyepewa nafasi na TCU akaamua kwenda kusoma Kenya, Uganda au sijui Malawi hao wanaokwenda Kenya na Uganda ni kwamba ufaulu wao haukutosha TZ na ndiyo maana wanaondoka hivyo sijui khs Nigeria lkn kwa kwetu hakuna top student anayehama kwenda kusoma Kenya au Uganda!
 
Kazi za ualimu tu kazi zingne uliwah kusikia wap....na issue za tourism industry pia mko vizuri.....
 
Medical,science fields zingne hamna tofauti na tz,even issue za agricultural sioni mnawazidi nn graduate wa SUA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…