Wangapi wanakubali kupanga nyumba hii?

Huna haja ya gari huko,ni boti baasi
 
ukiwa mtu wa tungi pombe mtu sijui itakuje

swissme
 
sisi tunaorudi home uko vyombo inabidi ukishuka kwenye boti ujivalie boya maana ukikosea kwenye ngazi tu misissipi hii hapa....
 
hivi hapo kuna tofauti gani na bondeni? Hawamjua JPM hao.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…