Jannatul Firdaus JF-Expert Member Joined Aug 4, 2026 Posts 371 Reaction score 838 Yesterday at 10:50 AM #1 Asilimia kubwa ya Millenium na Gen Z kizazi kisichokunywa chai asubuhi wamepitia hii. Wakishua hawawezi kuelewa . Asilimia kubwa ya jamii ambayo maisha yake ni ya kawaida , mtoto kuoga mpaka ashikiliwe huku na huku ndo aoge huku akisuguliwa kwa nguvu. Your browser is not able to display this video.
Asilimia kubwa ya Millenium na Gen Z kizazi kisichokunywa chai asubuhi wamepitia hii. Wakishua hawawezi kuelewa . Asilimia kubwa ya jamii ambayo maisha yake ni ya kawaida , mtoto kuoga mpaka ashikiliwe huku na huku ndo aoge huku akisuguliwa kwa nguvu. Your browser is not able to display this video.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 34,209 Reaction score 99,269 Yesterday at 10:58 AM #2 Mwamba haelewi
Psalm_27 JF-Expert Member Joined Aug 27, 2026 Posts 1,108 Reaction score 2,065 Yesterday at 11:02 AM #3 Hahahahaaaaaa siku hizi mitoto inapauka sana kama haijaoga, wazazi hawana mda wa kusugua tena....... mitoto!
Hahahahaaaaaa siku hizi mitoto inapauka sana kama haijaoga, wazazi hawana mda wa kusugua tena....... mitoto!