Wandugu Naomba Msaada wa Kupatiwa Ajira/ama Nafasi ya kujitolea Wandugu Nisaidieni

Leon awinia

Member
Oct 21, 2015
54
34
Mimi ni Kijana mwenye elimu ya Diploma ya Customs and Tax Management katika chuo cha (ITA) Institute of Tax Administration lakin nina Certificate Clearing and freight forward kutoka chuo cha Bandari. Dhumuni kuu ni kuomba msaada wa kupatiwa ajira na pia ninaozoefu wa kajitolea.
Kama Kijana huo na amini katika uwaminifu kila hatua ninayopinga na uwajibikaji kwa kasi hiyo hiyo na siyo mumini wa kukata tamaa kamwe na huwa napenda kujifunza kila siku kitu kimpya katika kazi.
Mimi na amini katika tamaduni zetu Watanzania mimi ni ndugu yenu lakini pia mimi ni mdogo wenu.
Makazi yangu kwa sasa ni Dar es salaam
 
Back
Top Bottom