wandugu msaada

wandugu msaada

sengahu

Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
48
Reaction score
12
A,alyukum ma bibi na mabwana,wandugu nahitaji gari la biaashara daladala ofa yangu mil 10
 
A,alyukum ma bibi na mabwana,wandugu nahitaji gari la biaashara daladala ofa yangu mil 10
Mawil..
Moja uuziwe kimeo cha hatar au utapeliwe..
Kwa ofa yako ya 10milio kupata daladala ni shughul
 
Back
Top Bottom