Hatimaye wanazuoni wa elimu ya juu Tanzania wametangaza nia yao ya dhati ya kufanya kazi kwa pamoja na Dr John Pombe Magufuli kutokana na sera zake mahususi katika sekta ya elimu.
Aidha wanazuoni hao wanaojumuisha wakufunzi, walimu na wanafunzi wa vyuo na taasisi mabalimbali za elimu kwa nyakati tofauti wamesema kumekuwa na changamoto kadhawakadha ktka sekta ya elimu kwa muda mrefu,hivo ujio wa DR Magufuli kutakuwa ni suluhisho la changamoto hizo.
Dr Magufuli ameonyesha nia thabiti ya kuhakikisha kila mkufunzi, mwalimu na mwanafunzi wote kwa pamoja wanapata stahiki zao kwa wakati na bila usumbufu.
Aidha ktka mikutano yake Dr AMEKUWA AKISISITIZA kuongeza mishahara kwa wafanyakazi wa Serikali wakiwemo wakufunzi na walimu, aidha wanafunzi watapata mikopo yao kwa wakati hivo kuwataka kusoma kwa bidii na baadaye kuja kulitumikia Taifa,Serikali itatengeneza miundo mbinu thabiti juu yao na viwanda kwa ajili ya wahitimu mbalimbali kupata ajira mara baada ya masomo yao. Aidha kwa upande wa walimu amesisitiza kuwapa stahiki zao na kuboresha mazingira ya kazi zao hususanai wale wote wanaofanya kazi ktka mazingira magumu.
Kutokana na hali hiyo walimu, wakufunzi na wanafunzi wote wa vyuo vikuu na taasisi mbalimbali za elimu nchini wamefurahishwa sana na namna Dr Magufuli atakavyomaliza changamoto zilizokuwa zikiwakabili kwa muda mrefu, hivo wamesisitiza kuwa nae ktka kumuongezea ushindi wa KISHINDO.
Wanazuoni hao pia wamesisitiza kutoa elimu ya ushawishi kwa makundi mengine ktk jamii na hata ngazi ya familia, juu ya mikakati ya utekelezaji wa agenda hizo za Dr Magufuli na baadaye kuweka historia ya Dunia kwa kupata ushindi wa kishindo ktka uchaguzi mkuu wa October.
Aidha wameitaka tume ya uchaguzi kuwa makini na itakapobidi kuchukua hatua stahiki kwa wagombea wote wanaotanguliza udini na ukanda ktka kampeni zao.Vipaumbele vya wagombea vizingatiwe zaidi tofauti na ajenda za udini.
HONGERENI SANA WANAZUONI KWA JUHUDI ZENU KTKA KUONGEZA USHINDI KWA DR JOHN POMBE MAGUFULI.