octer core
Member
- Dec 16, 2018
- 7
- 11
Yanga imekua ikishiriki michuano ya Caf kwa miaka mingi na ikiendelea kuchukua kombe la Nyumbani. Inawezekana hujui upinzani wa Yanga na Simba, Haijalishi Yanga au Simba anashiriki michuano ipi wao sikuzote ni kuombeana njaa. Kingine ambacho hujui Simba ata ikifanikiwa kupita kwenye kundi lake itaenda kucheza hatua ya Makundi ambayo kimuundo ni Robo fainaili kitu ambacho Yanga ilisha fikia mwaka 1998. Ili Simba iweze kuibeba Tanzania inatakiwa iingie nusu fainali baada ya kupenya kwenye makundi ya Robo fainali kitu ambacho hakipo.Mashabiki wa yanga walitakiwa waiombee dua na kuisapoti simba sc katika ligi ya mabingwa afrika ili kunufaika na mambo mawili katika timu yao na nchi kwa ujumla.
Jambo la kwanza, ikiwa simba itafanikiwa kufuzu robo fainali ingeifanya bodi ya mashindano ya caf kuijadili kuiongezea uwakilishi wa timu Tanzania, badala ya moja kwa ligi ya mabingwa zingekuwa mbili. Hivyo Tanzania ingekuwa inatoa wawakilishi wa tatu au zaidi pamoja na ktk shilikisho. Si lazima yanga awe mwakilishi kimataifa, hapana ila ukizungumzia uwakilishi wa timu tatu huwezi kuwaacha yanga.
Jambo la pili ambalo wanajangwani wangefaidika nalo ni kuwa, ikiwa simba sc watatinga hatua zifuatazo/ ifuatayo angeelekeza nguvu katika mashindano mawili, yaani ligi ya mabigwa na ligi. " mshika mawili moja humponyoka" usemi huo ndiyo ulikuwa umewafika vijana hawa wa msimbazi. Wangekuwa bize huku na huko jambo ambalo sina hakika kama wangeweza kulihimili. Hiyo ina maana yanga angetumia mwanya huo kupigania ligi.
Badala yake mambo yamekuwa tofauti, utawaona wanayanga aidha kwa kutokujua, makusudi au vyote kwa pamoja utawaona wawakiwa bize tena wengine wakiwa tumbo wazi kuwashangilia al ahly na As vita ili simba sc wafungwe.....wakifugwa watatolewa. Swali, je simba sc wakitupwa nje ligi ya mabingwa watabaki katika mashindo yapi ili wapate kuwakilisha nchi kimataifa? Jibu ni ligi tu, maana FA hayupo.Jenga picha Simba anashiriki ligi baada ya pote alipogusa kaambulia patupu......utaelewa tu.
Wakati mwingine msirudie tena kosa hili.
Hakuna kitu unachosema makundi ya robo fainali,robo fainali ni knock out stage nyumbani na ugenini mshindi wa jumla mechi zote mbili vigezo na masharti kuzingatiwa anaingia nusu fainaliYanga imekua ikishiriki michuano ya Caf kwa miaka mingi na ikiendelea kuchukua kombe la Nyumbani. Inawezekana hujui upinzani wa Yanga na Simba, Haijalishi Yanga au Simba anashiriki michuano ipi wao sikuzote ni kuombeana njaa. Kingine ambacho hujui Simba ata ikifanikiwa kupita kwenye kundi lake itaenda kucheza hatua ya Makundi ambayo kimuundo ni Robo fainaili kitu ambacho Yanga ilisha fikia mwaka 1998. Ili Simba iweze kuibeba Tanzania inatakiwa iingie nusu fainali baada ya kupenya kwenye makundi ya Robo fainali kitu ambacho hakipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga imekua ikishiriki michuano ya Caf kwa miaka mingi na ikiendelea kuchukua kombe la Nyumbani. Inawezekana hujui upinzani wa Yanga na Simba, Haijalishi Yanga au Simba anashiriki michuano ipi wao sikuzote ni kuombeana njaa. Kingine ambacho hujui Simba ata ikifanikiwa kupita kwenye kundi lake itaenda kucheza hatua ya Makundi ambayo kimuundo ni Robo fainaili kitu ambacho Yanga ilisha fikia mwaka 1998. Ili Simba iweze kuibeba Tanzania inatakiwa iingie nusu fainali baada ya kupenya kwenye makundi ya Robo fainali kitu ambacho hakipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sitaki ushabiki wenu wa utani wa jadi, lakini Kwa hilo la Penati naishangaa Azam TV kuendelea kuwaweka Ali Mayai na Salamba kama wachambuzi wakuu wa kituo. Yaani wachambuzi wanareplay tukio halafu bado wanahalalisha penati isiyokuwepo?Mikia bana...acheni kutafuta huruma.ya yanga baada ya jana kupewa penalt ya uongo msifikiri ligi mshabeba..mkikutana na marefa wanaokataa m pesa zenu mtapata tabu sana...
Bado nawaza tu hapa mbavu zina uhusiano gani na mikono
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss Yusuf mikia kulialia hawataki kumkeraMimi sitaki ushabiki wenu wa utani wa jadi, lakini Kwa hilo la Penati naishangaa Azam TV kuendelea kuwaweka Ali Mayai na Salamba kama wachambuzi wakuu wa kituo. Yaani wachambuzi wanareplay tukio halafu bado wanahalalisha penati isiyokuwepo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua lakini 16 bora imeanza lini? Isije ikawa naongea na mbumbumbu!!. Mwaka 1998 Timu zilipambana zikabaki 8 yaani Robo fainali. Yanga ilikua kundi B Ilikuwepo Manning Rangers, RajaCasablanca, Asec mimosas, Yanga. Kundi A lilikua na Dynamos, Accra heart of ok, Eagle Cement, Etoile du Sahel.Duuuuh, we jamaa muongo, yanga kafika robo fainali lini... Hyo 1998 alifika hatua ya makundi yani 16 bora na sio robo fainali
Halafu waje na shobo kwamba wameibeba Yanga kushiriki mashindano ya CAF? No way my friend.Mashabiki wa yanga walitakiwa waiombee dua na kuisapoti simba sc katika ligi ya mabingwa afrika ili kunufaika na mambo mawili katika timu yao na nchi kwa ujumla.
Jambo la kwanza, ikiwa simba itafanikiwa kufuzu robo fainali ingeifanya bodi ya mashindano ya caf kuijadili kuiongezea uwakilishi wa timu Tanzania, badala ya moja kwa ligi ya mabingwa zingekuwa mbili. Hivyo Tanzania ingekuwa inatoa wawakilishi wa tatu au zaidi pamoja na ktk shilikisho. Si lazima yanga awe mwakilishi kimataifa, hapana ila ukizungumzia uwakilishi wa timu tatu huwezi kuwaacha yanga.
Jambo la pili ambalo wanajangwani wangefaidika nalo ni kuwa, ikiwa simba sc watatinga hatua zifuatazo/ ifuatayo angeelekeza nguvu katika mashindano mawili, yaani ligi ya mabigwa na ligi. " mshika mawili moja humponyoka" usemi huo ndiyo ulikuwa umewafika vijana hawa wa msimbazi. Wangekuwa bize huku na huko jambo ambalo sina hakika kama wangeweza kulihimili. Hiyo ina maana yanga angetumia mwanya huo kupigania ligi.
Badala yake mambo yamekuwa tofauti, utawaona wanayanga aidha kwa kutokujua, makusudi au vyote kwa pamoja utawaona wawakiwa bize tena wengine wakiwa tumbo wazi kuwashangilia al ahly na As vita ili simba sc wafungwe.....wakifugwa watatolewa. Swali, je simba sc wakitupwa nje ligi ya mabingwa watabaki katika mashindo yapi ili wapate kuwakilisha nchi kimataifa? Jibu ni ligi tu, maana FA hayupo.Jenga picha Simba anashiriki ligi baada ya pote alipogusa kaambulia patupu......utaelewa tu.
Wakati mwingine msirudie tena kosa hili.
Mashabiki wa yanga walitakiwa waiombee dua na kuisapoti simba sc katika ligi ya mabingwa afrika ili kunufaika na mambo mawili katika timu yao na nchi kwa ujumla.
Jambo la kwanza, ikiwa simba itafanikiwa kufuzu robo fainali ingeifanya bodi ya mashindano ya caf kuijadili kuiongezea uwakilishi wa timu Tanzania, badala ya moja kwa ligi ya mabingwa zingekuwa mbili. Hivyo Tanzania ingekuwa inatoa wawakilishi wa tatu au zaidi pamoja na ktk shilikisho. Si lazima yanga awe mwakilishi kimataifa, hapana ila ukizungumzia uwakilishi wa timu tatu huwezi kuwaacha yanga.
Jambo la pili ambalo wanajangwani wangefaidika nalo ni kuwa, ikiwa simba sc watatinga hatua zifuatazo/ ifuatayo angeelekeza nguvu katika mashindano mawili, yaani ligi ya mabigwa na ligi. " mshika mawili moja humponyoka" usemi huo ndiyo ulikuwa umewafika vijana hawa wa msimbazi. Wangekuwa bize huku na huko jambo ambalo sina hakika kama wangeweza kulihimili. Hiyo ina maana yanga angetumia mwanya huo kupigania ligi.
Badala yake mambo yamekuwa tofauti, utawaona wanayanga aidha kwa kutokujua, makusudi au vyote kwa pamoja utawaona wawakiwa bize tena wengine wakiwa tumbo wazi kuwashangilia al ahly na As vita ili simba sc wafungwe.....wakifugwa watatolewa. Swali, je simba sc wakitupwa nje ligi ya mabingwa watabaki katika mashindo yapi ili wapate kuwakilisha nchi kimataifa? Jibu ni ligi tu, maana FA hayupo.Jenga picha Simba anashiriki ligi baada ya pote alipogusa kaambulia patupu......utaelewa tu.
Wakati mwingine msirudie tena kosa hili.
Wangekuwa wanafuzu kwa kutype kwenye Keyboard maisha yangekuwa rahisi sana.dawa ya jeuri ni kiburi
simba tunafuzu robo fainal ili tuwasaidie ndugu zetu wa yanga hata kama hawataki
Sent using Jamii Forums mobile app