Hicho kishahada chako kimoja kisikuvimbishe kichwa dogo,rudi shule,watu wana masters mbilimbili na wana hekima kibao,hwaandiki utumbo kama wako katika social forums.Issue ya wazazi wako kuwa nawafanya kazi sio ya kututangazia,tafuta vya kwako.
ni kweli kwani tz ni nchi masikini sana duniani ya pili toka chini tunazidiwa mpaka na rwanda hivyo basi kuwa masikini kwa mtz ni kawaida ila namshukuru Mungu nna shahada yangu ya Public Adm. Na nna kazi pia, pia nna kwangu na nasomesha mdogo wangu,basic needs haisumbui, pia hata wazazi wangu wana kazi mpaka sasa,PIA HII THREAD NIMEANDIKA KAMA USHAURI TU HAINA UHUSIANO WOWOTE NA MIMI.