Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Oh! Magari tu, my latest toy inaitwa DODGE 2010 we njoo, we get passionate
Jamaa kanyimwa mbunye
thanks,thank you,and love you too!Like like like and love yuu
Usiwe na hasira, hv unajua kwa nini wanawake wa siku hizi wanapenda mtu ambaye ameshajijenga kimaisha? Yaani mwenye gari, nyumba na maaset kibao? Wanaume ndio chanzo. Dada wa watu anaweza akakuvumilia kwa ulofa ulio nao na akaweka juhudi kwenye kukuza kipato cha familia mwisho wa siku anajikuta hana chake, ameachwa anatafutwa mwingine ambaye anakuja kula kiulaini. Ndio maana wanawake/wadada wengi wa mjini wameona ni ujinga kuwa na mtu lofa alafu akifanikiwa uko naye hakumbuki mlikotoka, hivyo shortcut ni kutafuta mwenye nacho. Hivyo usiwalaumu sana, mabadiliko yaanzie kwako.
Inashangaza, inasikitisha tamaa mbele, hupenda shortcut ya maisha anataka uwe na gari,nyumba,pesa nyingi wao ndo wanaona hayo maisha ukizingatia kwao hivyo vitu vimekosekana pamoja na kwamba naye pia ana zaidi ya miaka 10 kazini hajanunua hata sanlg, ila wanataka wakuone unavyo ukizingatia hawajui we umevitoa wapi cheki Kajala,alivikuta hajui vilitoka wapi at ze end? Manamake bwana yani yapo tayari hata kama wewe ni mumewe akitokea zombi mwenye hivyo akamtaka yuko tayari kukuua au kufanya lolote, ukiwa navyo hivyo huwa hawajali tabia au ucha Mungu wako. Mwanamke atakupa kila kitu kwenye mwili wake shame on them,maisha na anasa za dunia zinatafutika na zinapita,ukikaribia zeeka ndo unaanza kujikosha kwa yeyote yule akuoe ili mradi uhakika wa daily basic needs uwepo,ulipokuwa kigori unasifiwa manjemba wakakutumia hukuyaona hayo? Kaa na mwenzio utulie muweke mipango mikakati kuweza kupata yote na si kutaka kudandia vya watu vinawaponza sana lazima ujiulize mwanaume mwenye hivyo vitu anakutaka je hivi ni kweli pamoja na kuwa na mali zote hizo hana mwanamke au wanawake au hawamuoni? Out of hapo utakuwa kama condom used.
maskini utawajua tu
hata ubongo wao ni wa
kimaskini!!njoo nikuazime ndinga yangu hahahaaaa!!
poleni sana!!
heri yangu mimiusituletee mambo ya kipumba.v.u we uwenda hata hujui nn maana ya maskini, kaa utulie ndinga uitoe wapi wewe mf.lya.ji au uliipata baada ya kupgwa sana kabaaang na watoto wa mjini siyo?
heri yangu mimi
nimepigwa kabaaang nikapata ndinga?
kazi kwako unaeshikishwa ukuta na wanaume wenzio
unabaki na shombo huambulii kitu!!bwabwa wewe
m.p.u.m.b.a.v.u ni wewe usiejijua,unaona matusi dili!!
hovyooo kainamishwe toilet huna lolote,mtt wa kike
kabaaang ni kawaida kazi kwako kuku mtamu(shoooooo...)
Inashangaza, inasikitisha tamaa mbele, hupenda shortcut ya maisha anataka uwe na gari,nyumba,pesa nyingi wao ndo wanaona hayo maisha ukizingatia kwao hivyo vitu vimekosekana pamoja na kwamba naye pia ana zaidi ya miaka 10 kazini hajanunua hata sanlg, ila wanataka wakuone unavyo ukizingatia hawajui we umevitoa wapi cheki Kajala,alivikuta hajui vilitoka wapi at ze end? Manamake bwana yani yapo tayari hata kama wewe ni mumewe akitokea zombi mwenye hivyo akamtaka yuko tayari kukuua au kufanya lolote, ukiwa navyo hivyo huwa hawajali tabia au ucha Mungu wako. Mwanamke atakupa kila kitu kwenye mwili wake shame on them,maisha na anasa za dunia zinatafutika na zinapita,ukikaribia zeeka ndo unaanza kujikosha kwa yeyote yule akuoe ili mradi uhakika wa daily basic needs uwepo,ulipokuwa kigori unasifiwa manjemba wakakutumia hukuyaona hayo? Kaa na mwenzio utulie muweke mipango mikakati kuweza kupata yote na si kutaka kudandia vya watu vinawaponza sana lazima ujiulize mwanaume mwenye hivyo vitu anakutaka je hivi ni kweli pamoja na kuwa na mali zote hizo hana mwanamke au wanawake au hawamuoni? Out of hapo utakuwa kama condom used.
Hebu wanaume acheni kukwepa majukumu yenu hata kwenye maandiko ya dini ipo hy,mwanaume lazima utafute kwa jasho bwana.Sasa acha kujicompare na mwanamke.Hata kama wote mmefanya kazi miaka 10,a man is a man,compare yourself with other men.Sio kwamba nafagilia wanawake kuwa na tamaa zilizopitiliza though hata sis tunatafuta but role ya mwanaume iko pale pale.
Pia kuna wanaume wanapenda sana kulelewa,I hate them too much,tena wanajiuza miili yao kwa wanawake wenye pesa,aibu sanaaaaa.So ukiongea kuhusu wanawake kumbuka na wanaume wenye tabia kama hizo,acheni hizo.Gari unataka uendeshe la mwanamke ujenge sifa mjini,nyumba uhamie kwa mwanamke,ulelewe tu,we naniii?Outing unataka mwanamke ndio alipe,eti umesahau ATM card,mara wallet imepotea,yaani mnaniudhi wenye tabia hizo.Step up and Be a man.
umetisha.Mimi huwa nawaambia sina fedha wala dhahabu, ila nina akili na uwezo wa kupata fedha na majumba na magari na punda na farasi kabla sijafikisha miaka 40.
Pia nina kitu kingine cha ziada na kizuri kaidi.
Nina mpini wa nchi tisa, wenye kipenyo cha sentimeta sita, tena una vimatawi matawi, kama vile viduda ambavyo baadhi ya watu huzaliwa navyo kwenye kidole cha mwisho.
Pia nina nguvu za kiumeni zilizopitiliza, na nina upendo wa dhati kama mabakuli mia mbili hivi.
Vyote hivi ni kwa ajili yako mrembo
Aisee naona mnataka kuuwana kidigitalli. Jamani hamna mgombelezeaji?
ona sasa mwanamke akiandika kitu utajua tu huwa kinakaa kama anaimba taarabu i mean mipasho, mwanaume gani mtatoka out mfike kwenye kutumia adai wallet imepotea au kasahau ATM card wa wapi huyo? Maana mi navyojua mwanaume kama anajua anatoka na mwanamke huwa anajiandaa sana kifedha na akikosa hathubutu lazma atakupga chenga ya mwili tu,tofauti na nyie huwa ni kujiandaa kutumia na kutumiwa juu pia kimuonekano,huyo unaedai anafugwa na mwanamke may be ni ndugu yako.