Wanawake wote pitieni hii...inawahusu

Kingfisher

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2015
Posts
5,140
Reaction score
8,400
Ukiwa na mke ambaye ni mgumu sana kuheshimu, kushuka au kunyenyekea "to be humble and submissive" na kila akiambiwa kuhusu umuhimu wa hilo lazima atoe sababu za kujitetea kwanini hafanyi hivyo na justifications nyingi sana za kuhalalisha kutoheshimu au kutojishusha kwake basi fahamu umeoa mwanamke sio mke.

Sio kila mwanamke ni mke, wake wanaifahamu ndoa wanawake wanaijua tu ndoa. Wake kwenye ndoa wamekuja kuishi, wanawake wamekuja kukaa. Wanawake hata hapa mapovu yatawatoka ila wake wataielewa.

Najua ni makali lakini yanaponya.
[HASHTAG]#ChrisMauki[/HASHTAG]
 
Ngoja nikuitie wifi yako hapa!
 
Ulichoandika hata sijaelewa, ila kumbuka mlishapewa alert Ishini nao kwa akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…