Mkuu unaweza kudadavua kidogo hyo perineal tear maanaKwamba mkuu White colour ni rahisi sana kupata perineal tear?
Hebu nisaidie uzoefu mkuu maana mimi bado junior kwenye hii taasisi
MhuAfya Ya Uzazi: wanawake weupe hupata sana matatizo wakati wa kujifungua mf. kutokwa sana damu, vifafa vya mimba...nk, kwa miaka yangu 15 ya kuhudumu kwenye chumba cha uzazi nimeligundua hili pasi na shaka yaani inafika wakati nikipokea mama mjamzito mweupe huwa nakaa mguu sawa maana lolote linaewza kutokea tofauti na wenzao
Kitaam sijuhi ngoja nigoogleHyo inasababishwa na nini mkuu ila weupe hutupiwa macho mengi mazuri na mabaya. Kitaalamu hyo inasababishwa na nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasababishwa na kudengua kwa hawa viumbeHyo inasababishwa na nini mkuu ila weupe hutupiwa macho mengi mazuri na mabaya. Kitaalamu hyo inasababishwa na nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
kabisa
upuuzi wa nini shekhee
Hata orijino ni wajinga, ovyo wanajiona kibur king yaan mpo Kama wachawi