Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,702
Ndio maana natamanigi tournament moja na mtani wajadi ili nikuonyeshe upendo mama.
Hahaha asante vumiliaNdio maana natamanigi tournament moja na mtani wajadi ili nikuonyeshe upendo mama.
Sema mm na uchawi sijawai jaribu!
Sent using Jamii Forums mobile app
dah nimekupenda sana leo umeongea cha maanaKama hujawahi kuwa mzinzi huwezi kujua tofauti ya wanawake weupe na weusi,wanawake weupe wana ujinga wa asili kulinganisha na weusi ambao wengi wao wana akili tulivu sana ktk kufanya maamuzi.
Wanawake weupe wengi wao ni malimbukeni sana,ile hali ya kuwa weupe huwadumaza sana na kujiona kuwa wao ni bora kuliko wanawake wote.
Ukichunguza kwa makini hata ndoa nyingi zinazovunjika ni za wanawake weupe,kundi hili ni hatari kuoa,ni bora ukaoa mwanamke mwenyewe rangi ya maji ya kunde kuliko mweupe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo inasababishwa na nini mkuu ila weupe hutupiwa macho mengi mazuri na mabaya. Kitaalamu hyo inasababishwa na nini?Afya Ya Uzazi: wanawake weupe hupata sana matatizo wakati wa kujifungua mf. kutokwa sana damu, vifafa vya mimba...nk, kwa miaka yangu 15 ya kuhudumu kwenye chumba cha uzazi nimeligundua hili pasi na shaka yaani inafika wakati nikipokea mama mjamzito mweupe huwa nakaa mguu sawa maana lolote linaewza kutokea tofauti na wenzao
Kwamba mkuu White colour ni rahisi sana kupata perineal tear?Afya Ya Uzazi: wanawake weupe hupata sana matatizo wakati wa kujifungua mf. kutokwa sana damu, vifafa vya mimba...nk, kwa miaka yangu 15 ya kuhudumu kwenye chumba cha uzazi nimeligundua hili pasi na shaka yaani inafika wakati nikipokea mama mjamzito mweupe huwa nakaa mguu sawa maana lolote linaewza kutokea tofauti na wenzao
Huku sasa kuharibianaKama hujawahi kuwa mzinzi huwezi kujua tofauti ya wanawake weupe na weusi,wanawake weupe wana ujinga wa asili kulinganisha na weusi ambao wengi wao wana akili tulivu sana ktk kufanya maamuzi.
Wanawake weupe wengi wao ni malimbukeni sana,ile hali ya kuwa weupe huwadumaza sana na kujiona kuwa wao ni bora kuliko wanawake wote.
Ukichunguza kwa makini hata ndoa nyingi zinazovunjika ni za wanawake weupe,kundi hili ni hatari kuoa,ni bora ukaoa mwanamke mwenyewe rangi ya maji ya kunde kuliko mweupe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Furahia. Siku yako hii QueeneverKwa hiyo sisi vyeusi mangala tuko Mwenye order