melisafilbert
Member
- Sep 3, 2013
- 67
- 9
welcome back Lizzy.....Kama kweli mtu hawezi kukaa vizuri na watoto(kitu ambacho nadhani ndio sababu kubwa ya wewe kumuajiri) na bado unaomba ushauri basi mi nakwambia MVUMILIE mpaka kieleweke!!!
wewe ni melisa gani?wa masogange?sasa hapo hujui dada cha kufanya?utaishi naye vipi na kumuachia mwanao mtu ambaye humuamini?si anaweza hata mlisha sumu mtoto