Wanawake wenye ujauzito mnapoteleaga wapi?

Wanawake wenye ujauzito mnapoteleaga wapi?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,649
Reaction score
57,044
Huwa najiuliza Sana kwanini idadi ya wadada wenye mimba ninaokutana nao Ni chache Sana ukilinganisha na idadi ya vitoto vidogo navyoviona.mfano mtaani nikitembea inaweza ikapita week sijakutana na mama kijacho lakini vitoto navyokutana navyo vikicheza Ni vingi Sana unaweza kudhani kila nyumba Ina vitoto vitatu na kuendelea,ndo maana nimekuja JF kuwauliza wadada huwa mnaenda wapi tukiwapaga mimba mbona hamuonekani mnakuwa adimu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom