Wanawake wenye matege ni watamu balaa!

Kizuri kula na mwenzio, ebu tupia namba yake
 
"Hapa Nazungumia yalee Matege Ya Ndani Kama Ya Robin van Persie" Mkuu kuwa wale "Migulu Baja" kama Robert Pires, wale unawaelezeaje?
Hao Sio Chochote

Utege wa Mwanamke Ule Wa Ndan Hatari Ndugu Yangu
 
Kapicha Nakasubili
 
Halafu experiments za foolish age na balehe mnaziletaje kwenye jamvi la wazee?
Kuna formula ya utamu wa mwanamke kwa kulinganisha umbile lake la nje, nani aliconlude hilo?
Kweli leo nimeamini kuwa kuna baadhi ya wanaume hadi wanaota vipara vya mvi na kupinda vibyongo, bado hawamtambui mwanamke!
Unawezaje kutia sifa ya jumla ya udhaifu wa hisia za ubongo wako kwenye kadamnasi?
Mwingine anaoa amiliki sauti ya mhusika tu. Hiyo biashara ya matege ukimletea mtaelewana?
Umbile lolote lile la mwanamke ni 'tunu' kwa mwanaume.
Ni kama yalivyo mavazi. Chukulia mfano wa mavazi aina aina, ndiyo utaelewa maana halisi.
Usilolipenda wewe, utakuta mwingine kalivaa na limemtoa "chicha"!
Sasa hapo unaweza ukasemaje?
Ifikie mahali muelewe kuwa mwanamke unayemuona wewe wa nini, mwingine anafikiria atampatapataje?
 
Ukitaka sura yake njoo DM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…