Wanawake wenye makalio makubwa

Nyamalapa

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
211
Reaction score
470
Kwa uzoefu wangu mpaka muda huu nimebahatika kutembea na wadada kadhaa wenye makalio makubwa, baadhi niliwapenda toka moyoni ila wengine walinivutia tu na misambwanda yao.

Kutokana na utafiti wangu usio rasmi nimegundua kwamba wengi wetu huwa tunawatamani tu kingono wanawake wenye makalio makubwa na sio kama tunawapenda kutoka mioyoni mwetu.

Ni rahisi sana kumchoka mapema mwanamke mwenye msambwanda kuliko wanawake wenye maumbo ya kawaida.Wanawake wengi wenye makalio makubwa hawajui kujisafisha, ukimuinamisha mbuzi kagoma kwenda utaona kuna mstari flani una kama utando mweupe.

Sasa huwa najiuliza inamana wanapokua wanaoga au kujisafisha mikono haifiki pale kwenye mstari wa ikweta au ni uvivu tu unaosababishwa na maumbile yao.Kiukweli wanawake wenye big butt huwa tuwatamani tu kingono zaidi kuliko mapenzi ya dhati.

Je wewe kama mwanaume ni sababu zipi zinakufanya upende wanawake wenye makalio makubwa ?
 
Haa ha...mstarii mweupe ule kumbee hiyoo ndo sababu??? Ilaa msambwamda siwezii kuuchokaa yanii
 
Komaza akili na utafiti wako kijana. Suala na maumbile na usafi ni masuala mawili tofauti.
Hata wewe ukikaa 'miguupande' halafu uinamishwe, huo mstari ulioutaja, unao ikiwa tu baada ya kujiswafi unasahau kupaka mafuta.
Hizi dosari ulizozitaja zipo kwa watu wenye maumbile yoyote, iwapo misingi ya usafi haitafuatwa.
Chukua niliyokueleza ili iwe ni hadidu za rejea katika utafiti wako.
Na siku nyingine ukitaka kufanya 'mamboayo' ,mwandae mshirika wako.
'Kumuandaa' ni neno pana, ikiwa ni pamoja na usafi wa mwili kwa ujumla wake, si mradi kufakamia tu.
 
Wanawake wenye makalio makubwa ni wazuri kwenye mambo yetu huo msitari mweupe sio uchafu ni hari ya joto husababisha ni kawaida tu
 
Sioatii picha siku mods wakisema, wadau tunalikarabati jukwaa la MMU kwa wiki moja.. kuna watu wataumwa humu JF haha​
 
Hicho kitu mimi mwenyewe nimekinoti kila nikikutana nao zamani nilikuwa nadhani ni mtu binafsi but kwa wengi niliowapitia hilo ni tatizo sasa umkute vu limemshinda kunyoa umemvua tu unachabo unauona ule ugandu umechora mstari ukiingiza hata condom sometimes huiamini sababu ya wenge ukimaliza akiondoka unaanza kujilaumu ulimchukua wa nini.... but nowadays nimeachana nao ila sijui kesho nitawaza nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…