Wanawake wengi hawajui wanaume wanapenda nini

he he he he, Mi sijawahi kukutana na wanaume wawili wanafanana kwa asilimia kubwa wanataka nini....wanaume wenyewe wako tofauti,na mitazamo yao na matamanio yao kwa wapenzi wao hayafanani na hubadilika kila mara.....mfano, kabla hujajifungua mwanaume anasema anakupenda na wembamba wako na viziwa vyako vidogo,umejifungua ukanenepa kidogo unaanza mazoezi kurudia alivyokuwa anakupenda mwanzo na ulivyokuwa unaona unapendeza.....anaanza.....no baby,i like you with some meat....am loving that body right there......!
Una nywele ndefu ukapunguza kipindi cha ujauzito anasema,i think i like you in short hair.....argghhhhhh......leo anapenda uvae nguo ndefu kesho anaona fupi ni sawa......so kujaribu kujua kipi mpenzi anapenda na ukipata anayesema ni kitu kizuri.....do it all the time and demand honesty....lol
 

Sasa ndo umeongea nini? Maana hujawasaidia kitu.
Mwanaume kwa mwanamke anapenda apewe uhuru wa kuwa mwanaume, apewe kei na mambo mengine yatafuata taartibu na mwanamke atafurahi kabisa endapo atatimiza haya mambo ya msingi kwa mwanaume.
Suala la muonekano, yategemea, kuna wanawake wazuri na kuna wanawake wenye mvuto.
 
suala la mwanaume anapendelea nini ni la muhimu sana, na hili lipo ktk uwanda mpana sana, ukijua kile apendacho

mwenzi wako basi kitumie hicho kuimarisha penzi / pensi, inaweza kuwa ktk mavazi, chakula na vinywaji, stori mf. kuna

wengine wanapenda sana hadithi au stori za vichekesho, tatizo wengi tukiongelea hili suala mawazo yetu yanakua zaidi

ktk kuvaa na kupendeza tu, kumbe hata ukiwa mbunifu zaidi jikoni, au unampa stori fulani fulani za kufurahisha

anaridhika. La muhimu ni kutafuta kujua anapenda nini ktk nyanja zote.
 
Tamalisa umeifafanua vizuri hii hoja kama ambayo ningalipenda niifikishe. Kwa mfano wengine wanapenda masihara na wengine ni armchair thinkers anataka ukimya ukimparamia na hadithi masihara unamboa na hawezi kukuambia moja kwa moja. Wengine wanaaka kuongea katika mida Fulani tuu sio kafika tu toka kazini unaanza kuchangamka na habari nyingi
 

kumbe wanaume ndo hawasomeki?
 
Hapo chacha....
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1424802778.200459.jpg
    59.2 KB · Views: 197
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…