Jestina George,Stella tillya,nuru the light,kiki,the Lilly melody and more hizo ndio blog Za wanawake wenye watoto including mine .kinakuhusu nini?stella Ana blog nzuri tu na Hana mtoto ni choice yake na pleeeeeese sio lazima kuzaaaaa.wabongo kwa kuchunguza maisha ya watu .pole umeachwa she is pretty than you don't worry you will get somebody else.Ndoa lini vile?
Jelousy simple .kaa na muuza mkaa wakoAgain, I do not know who these women are and frankly I do not care to find out. Anyone that spends time blogging about themselves, posting pictures of themselves doing mundane activities (eating, driving, or just plain posing in front of a mirror) is a narcissist. We're breeding a generation of narcissists (see Facebook), of faux celebrities like Kim Kardashian-- simply trying to be famous for being famous.
There are many fantastic blogs by women with kids (and without) that I read, but they're at least educational or not all about the blogger's wardrobe and daily meals.
Kama ungesoma post yangu ungeona kwamba nakubaliana, si kila mtu lazima azae. That's your own personal choice.
Nimeolewa, sweetheart. I have a gorgeous husband and baby girl.I know for a fact that I'm hotter than cheap these yaki-wearing chicks. I'm proud of my roots (long, natural hair baby), I'm hot AND beautiful, and my husband loves me. Most importantly, I love me.
That's more than you can say. We all know your worth lies with your husband. It's quite obvious from what you post in this forum.:tonguez:
MkuuTumezoea kuwaona wakijinadi kwa mbwembwe, urembo na madaha kwenye majukwaa mbalimbali aka blogs, lakini ukiwaangalia utaona wengi wamepita umri na ungetegemea wangekuwa angalau na mtoto mmoja. Sitaji majina, lakini ni wazi wanajijua, haswa wale wa DMV area.
Kwa ujumla Wanawake wengi wanaoji-promote kwenye ma-blogs utaona kwa maringo wakibandika picha za kuvutia za nguo wanazovaa siku hadi siku na kujinadi kwa "model shapes" zao na jinsi walivyo "fashion conscious" and all that stuff, lakini utaona hawana watoto.
Najiuliza, Jee labda sababu ni kwamba wamegundua hawawezi kuzaa aka ni wagumba?
Jelousy simple .kaa na muuza mkaa wako
Jelousy simple .kaa na muuza mkaa wako
Muuza mkaa ampate wapi? Goalkeeper wa kuokotwa down village.
Is that all? Weak.
I know i hit a nerve. Have a nice day 🙂
naomba nikuandalie chai ya mdalasini na hiliki!Kuna umasikini wa kukosa mtoto.
Kuna umasikini wa kupata mtoto.
Kuna umasikini wa mawazo unaofanya mtu kuanza kuandama waliokosa au kutotaka watoto. Bila hata ya kuona umasikini wa kupata watoto!
Kuna umasikini wa kuendekeza "Utajiri wa maskini watoto".
Do you. Remember to let others be themselves. As long as they are not in your rails.
But then again, your rails may be all up in their grills, which could get tricky.
mtanange wa kizungu