Man, that's what I was talkin' about.
And ain't she one ugly bi.tch?
Damn!
Kwani kuzaa ni lazima???
:becky: wataenda motoni:becky:
Kwa maagizo kutoka kwa MUNGU ni lazima...................!
Mungu yupi huyo?
Hapo kwenye red: especially kwa wale wanaoishi nje ya TZ ,sio kwenye blog tu, unakuta mdada(mzee ki umri) anakuomba umpige picha, wakati unamzungukia usoni umpige picha anakwambia hapana, anakugeuzia MA-TA-KO halafu anayabinua ili picha itokee hivyo, hii tabia inanikera, wanawake wa umri huo kule nyumbani TZ hawana huu upuuzi.Ok. Nyani, hapo nimekuelewa. By the way, what's your opinion about all those middle-aged women posing like teens in the many blogs out there you get to see on the daily?
Umasikini si lazima uwe wa fedha.
Wewe utakuwa rafiki wa mange unamsema " stella tillya starlisha " .karibia wanawake wengi wenye blog ni wanawake wenye watoto .I have a blog na nina watoto 3 na wa 4 njiani .my blog is for people of substance and with money sina Muda na wambea wasio na pesa kelele tuTumezoea kuwaona wakijinadi kwa mbwembwe, urembo na madaha kwenye majukwaa mbalimbali aka blogs, lakini ukiwaangalia utaona wengi wamepita umri na ungetegemea wangekuwa angalau na mtoto mmoja. Sitaji majina, lakini ni wazi wanajijua, haswa wale wa DMV area.
Kwa ujumla Wanawake wengi wanaoji-promote kwenye ma-blogs utaona kwa maringo wakibandika picha za kuvutia za nguo wanazovaa siku hadi siku na kujinadi kwa "model shapes" zao na jinsi walivyo "fashion conscious" and all that stuff, lakini utaona hawana watoto.
Najiuliza, Jee labda sababu ni kwamba wamegundua hawawezi kuzaa aka ni wagumba?
Hmmm...wengine wameshusha sana injini hao.
inawezekan wakawa hawajapata mr right man or woman wa kuzaa nao.au bdo hawaja settle ktk maisha.mana ni vzr kujipanga mana watoto wanataka malez mazuri ya wazazi wte wawili.
Jestina George,Stella tillya,nuru the light,kiki,the Lilly melody and more hizo ndio blog Za wanawake wenye watoto including mine .kinakuhusu nini?stella Ana blog nzuri tu na Hana mtoto ni choice yake na pleeeeeese sio lazima kuzaaaaa.wabongo kwa kuchunguza maisha ya watu .pole umeachwa she is pretty than you don't worry you will get somebody else.Ndoa lini vile?I must admit the only Tanzanian woman with a blog that I've heard of is Mange. After clicking on the link I must ask, are you sure you would want a narcissistic woman to have children? I don't know who that is, but clearly she has a false sense of celebrity because she has a blog and an Instagram account. Some people simply weren't meant to have kids, and good for her if she hasn't had any. Those kids would be so embarrassed.
Acha uwongo bana. Kama mwanamke wa Kitanzania, you surely don't have that prerogative. That choice is never in your hands, unless, again you're a lesbo.
nafikiri hayo uliyoyasema ni majaaliwa ya Mungu hayapo ndani ya uwezo wa binadamu, waweza taka mke/mume usipate waeza taka zaa lakini hauna capcity..so ni majaaliwa ya Mungu...overKwa hiyo utamaduni wa Kiafrica unaruhusu watu kuwa gay.
Anyway kuzaa au kuwa na familia ni chaguo la mtu.