Wanawake wanene vs wanawake wembamba

Scars embu weka shairi hapa.
Asante kwa tag

Mjeda naibuka katikati ya mada, mara nakuta washkaji wanabonga kuhusu vimada.../

Scars nyota chafu huyu mwana hapendwi na wadada, sio wanene warefu anachukiwa hadi na wembamba.../

Nifanyeje ili niweze kuwapata Super Villain naomba msaada, hapa nilipo nimedata sielewi ntampataje ledada.../

Nahitaji demu mrembo awe na umbo la kishori, asiwe kicheche muuza utumbo mamende watamla kama mtori.../

Awe na figure na mwendo wa maringo kama kigori, asiwe kibonge mchizi ntakosa stimu ya ku score magoli.../

Awe na record ya kumpiga chaga mtoto wa baharesa, maana akiwa na tamaa na mkushi sina hela atanitesa.../

Sina mkoko awe tayari kupiga ngoko, na matozi wenye vindinga vya kuzuga wakimfata awatusi nyoko.../

mwambie kabisa kua hali ni ngumu muhuni napitia misoto, Sina viatu daily napeta mitaani wana wananiita mpoto.../

mwanamke wa ndoto zangu uko wapi tutimize ndoto, huku life tight mumeo naviringa misokoto.../

Nikiwa na stress aje geto na kanga moko, tupeane mambo ya kizungu huku tuki mix na kimombo.../

Kwa mbali naona kuna member kanyosha mkono anataka alopoke, jamani vibonge kaeni mbali ofa hii haiwahusu msishoboke.../

Japo sina hela ila bado nina uchaguzi, mi ni msela ila demu huwezi kunifanya buzi.../

Nadharau sio kinyonge, yani sina hela halafu sitaki vibonge.../
 
hahaha
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ujawahi niangusha mzee wangu, plate namba A chafu πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…