Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,270
Poleni na majukumu,
Mwanamke anaweza kuishi kwenye Ndoa/Mahusiano bila ku cheat kwa asilimia 99 & Wanaume wanaweza kuishi kwenye Ndoa/Mahusiano bila ku cheat kwa asilimia 1 kwa sababu ni nature yao kuwa hivyo.
Kwahiyo ukiona Mmeo/Mpenzi wako hujamkamata inabidi umuheshimu sana kwa sababu anafanya kwa usiri na umakini wa hali ya juu ili asiumize hisia zako.
Wanaume wasio cheat ni wale wagonjwa au makasisi wacha Mungu tu. Na hufanya hivyo bila ya kuwa na sababu ya msingi.
Hivyo basi ukimkamata Mmeo/Mpenzi wako usimuhukumu kwa ku cheat bali muhukumu kwa ku cheat kizembe hadi umemkamata
Si maneno yangu bali ni ya Dr Mwaka
Msisahau kuwa Wiki ijayo bado ni January.