Wanawake wanaweza hebu muone huyu

Huyu akiwa demu wako ukimuita siku ya mgegedo anakuagiza mahitaji kama plasta, painkiller, ambulance, mtungi wa oxygen n.k
 
Kama wanatubeba usiku kucha tangu tuwaoe na wengine uzito wetu ni zaidi ya hilo gunia, atashindwaje hilo gunia la kahawa?!!
 
Wanawake wa Dar wakiiona hii picha lazima watalia machozi mengi![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Hii ni ishara ya maisha kuwa magumu, marais wote waliopita kasoro Ngosha wamama hawakuteseka kiasi hiki. Huu si ujasiri ni shida za watanzania walala hoi.
 
Hii ni ishara ya maisha kuwa magumu, marais wote waliopita kasoro Ngosha wamama hawakuteseka kiasi hiki. Huu si ujasiri ni shida za watanzania walala hoi.
Mkuu, huku sio kuteseka! Hii ni haki sawa kwa wote yaani 50/50 wanawake kwa wanaume. Nafarijika sana kuwaona wanawake wanaopambana kuwin maisha. [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…