Wanawake! Wanawake!

Sisi wenyewe hatujui tunataka nini sawa, alafu aliyekwambia sisi tuna mwl nani ushaona syllabus yetu, Umeambiwa uishi na sisi kwa akili sema mnakurupuka tu
 
Ukiona hivyo Kuna sehem umekosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sekta, nimeiinulia mikono!!, hakuna jinsi mana km untk kuoa au kuolewa ni lazima uwe na mpnz kwanza ili umchunguze...lbd kama utabaki single milele ndo huwez kukumbana na hayo mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanawake bhana nawaoneaga huruma sana ni jamii ya watu ambao hawajawa civilized.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…