Takbir ⚔️Anyetuke tu. Mambo yake yatakuwa vyema tu.
Nyeto for everybody.Takbir ⚔️
Swali gani hili mkuu?we mlevi wa jf, una mke?
Sio ufala tu aache utahira kabisa me nikajua kapoteza mtaji kwenye mishe zakeni kujiendekeza tu , mwambie aache ufala.
kweli hata mimi nilijua hivyoSio ufala tu aache utahira kabisa me nikajua kapoteza mtaji kwenye mishe zake
Maumivu huwa yanakuja na mafunzo, acha ajipatie darasa!Kuna jamaa kitaa ni bodaboda ana mke na mtoto mmoja, mke wake alipoondoka kwa kugombana,jamaa sasa amekuwa mtu wa mawazo kila muda,anakuja na kujiinamia tu,
Mipangilio wa maisha yake imebadilika sana, boda haendeshi tena,siku zingine huwa namhurumia nampa 1k anakula wali mgahawani,wakati mwingine anaenda kwa maboda wenzake kula. Amekuwa mtu ambaye hana mbele wala nyuma. Ana msongo mkubwa wa mawazo. Wanawake wanauma kinoma
Sio kweliWanawake wanauma kinoma
hayo ni mambo yangu binafsilijibu kadri ya ulivyolielewa mkuu.
Wali Maharage buku ila ndazamkuu, umeoa au nazungumza na nyeto promax?
Mwanaume ukiwa dhaifu lazima mwanamke atakuuma tuu.. kitu ambacho wanaume tunasahau ukianza harakati za mademu lazima furaha yako uikabidhi kwa muumba wako ili akukumbuke katika siku za gadhabuKuna jamaa kitaa ni bodaboda ana mke na mtoto mmoja, mke wake alipoondoka kwa kugombana,jamaa sasa amekuwa mtu wa mawazo kila muda,anakuja na kujiinamia tu,